Habari
MAELFU YA WANANCHI WAFIKA MAONESHO SABA SABA

Maelfu ya wananchi wa Mkoa wa Dar es salaam na Mikoa ya Jirani waliofika kwenye viwanja vya Maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam - DITF (Saba saba) kutembelea mabanda kujifunza, kujionea bidhaa na maonesho mbalimbali Leo 07Julai, 2021.