Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Mafunzo ya ukusanyaji taarifa za kufanya tathimini ya utekelezaji wa Sera ya Viwanda Vidogo na Biashara Ndogo


mafunzo ya ukusanyaji taarifa za kufanya tathimini ya utekelezaji wa Sera ya Maendeleo ya Viwanda Vidogo na Biashara Ndogo ya mwaka 2003. Wizara ipo katika maandalizi ya awali ya kurejea Sera hii ili iendane na mabadiliko ya sasa ya kitaifa, kikanda, kimataifa, kiuchumi na kijamii.