Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Majadiliano Bungeni


Waziri wa Viwanda na Biashara (wa kulia), Mhe. Dkt.Selemani Jafo (Mb) akiteta jambo na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe (Mb) Januari 31, 2025 bungeni jijini Dodoma.