Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Makatibu Wakuu, Mabalozi na Wataalam wa nchi za Afrika kujadili utekelezaji wa Mpango wa AGOA


Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah akiongoza Kikao ngazi ya Makatibu Wakuu, Mabalozi na Wataalam wa nchi za Afrika zinazonufaika na Mpango wa AGOA Novemba 1, 2023 katika Kongamano la 20 la AGOA linalofanyika Johannesburg, Afrika Kusini kuanzia tarehe 2-4 Novemba 2023 kwa lengo la kujadili utekelezaji wa Mpango wa huo wa AGOA.