Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Mazungumzo na Balozi wa India Nchi Tanzania


 

 

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa India Nchi Tanzania Mhe.Bishwadip Dey na ujumbe wake katika Ofisi ndogo ya Wizara Jijini Dar es Salaam, Septemba 30,2024.

Mazungumzo hayo yamejikita katika ushirikiano wa Kibiashara na uwekezaji baina ya Nchi hizo mbili.