Habari
Mazungumzo na Balozi wa Oman nchini, Mhe. Saud al Shidhani

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Oman nchini, Mhe. Saud al Shidhani kuhusu kuendekeza na kuimarisha uhusiano wa kibiashara baina ya nchi hizo katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam Disemba 12, 2024