Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Mhe.Dkt.Selemani Jafo (Mb) ameungana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa (Mb), Viongozi na Watanzania kuaga miili ya wafanyabiashara wa Kariakoo


Waziri wa Viwamda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo (Mb) ameungana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa (Mb), Viongozi na Watanzania kuaga miili ya watu waliofariki baada ya kudondokewa na jengo la Biashara Kariakoo jijini Dar es Salaam