Habari
Mkutano wa Chama cha Walimu (CWT) DODOMA
Naibu Waziri, Mhe. Injinia Stella Manyanya ahutubia mkutano wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) na kuwataka walimu kuwekeza zaidi katika Viwanda, Biashara pamoja na kilimo kwa kutumia mtrekta bora na ya kisasa yanayotengezwa hapa hapa nchini. Mkutano mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania unafanyika Dodoma katika ukumbi wa Chimwaga, Chuo kikuu cha UDOM.