Habari
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Godfrey W. Zambi atembelea banda la wizara ya viwanda, biashara na uwekezaji na taasisi zake.
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Godfrey W. Zambi atembelea banda la wizara ya viwanda, biashara na uwekezaji na taasisi zake. Mkuu wa Mkoa wa Lindi amefurahishwa na wizara ilivyojipanga kutoa elimu kwa wananchi wa mikoa ya lindi na Mtwara, Mhe, mkuu wa Mkoa amesifu jitihada zilizofanywa na wizara kuleta mashine, matrekta ya kiwanda cha URSUS cha Kibaha, pamoja, pamoja na mafunzo yanayofanywa na Wizara kwa kushirikiana na taasisi zake. mafunzo haya yanatolewa bure katika kipindi chote cha maonesho ambapo muitikio umekuwa mkubwa sana.