Habari
KATIBU MKUU WA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHAR DKT. HASHIL ABDALLAH APOKEA TUZO KWA MAFANIKIO YA MAJADILIANO NA HALOTEL

Mwenyekiti wa Timu ya Majadiliano na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Bw. Adolf Ndunguru (kushoto) akimkabidhi tuzo Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah (kulia) ya kuwa mjumbe wa timu ya watalaam ya Majadiliano kwa kuthamini mchango wake katika kufanikisha malidhiano baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kampuni ya Viettel Global Joint (Halotel) Oktoba 06, 2025 Jijini Dodoma.