Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Taarifa ya Utekelezaji wa Majukumu ya Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania ( TANTRADE)


Mwenyekiti wa Kamati ya
Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), Mhe. Augustine Vuma Holle ameongoza kikao cha kamati hiyo kilichopokea na kujadili Taarifa ya Msajili wa
Hazina (TR) kuhusu Taarifa ya Utekelezaji wa Majukumu ya Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania ( TANTRADE) katika kipindi cha mwaka 2020/21 - 2022/23 Oktoba 16, 2024 Bungeni Jijini Dodoma.