Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Tuzo kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu


Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dk.Selemani Jafo(Mb) akipokea Tuzo kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa niaba ya Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE) @tantradetz inayohusu usimamizi na uratibu bora wa Maonesho ya biashara ndani na nje ya nchi pamoja na kutoa huduma ya Kliniki ya biashara katika Maonesho ya 7 ya kitaifa ya Teknolojia ya Madini yaliofanyika Oktoba 13,2024 Mkoani Geita.