Habari
Official opening of the ITRACOM Fertilizers Limited fertilizer factory located in Nala, Dodoma City, on June 28, 2025
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt.Selemani Jafo(Mb) akishiriki katika zoezi ambalo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisogeza kitambaa pamoja na Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye kuashiria ufunguzi wa Kiwanda cha mbolea cha ITRACOM Fertilizers Limited kilichopo Nala, Jijini Dodoma, tarehe 28 Juni, 2025.