Habari
Ushiriki wa Kikao cha Kamati ya Fedha, Uchumi na Biashara cha kujadili masuala ya Muungano
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe (Mb) akishiriki Kikao cha Kamati ya Fedha, Uchumi na Biashara cha kujadili masuala ya Muungano kilichofanyika Oktoba 17, 2024 jijini Dodoma.