Habari
Uwasilishaji Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Bw. Saidi Mussa Msabimana akiwasilisha Taarifa ya Utendaji wa Wakala wa Vipimo (WMA) kwenye Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) Oktoba 10, 2024 Bungeni Jijini Dodoma.