Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Wizara yahamia Ofisi mpya UDOM


Wizara yahamia Ofisi mpya UDOM: Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji inapenda kuwatangazia umma wa watanzania na wadau wetu wote kwa ujumla kuwa tumehamisha ofisi za Wizara kutoka jengo la Hazina ndogo Dodoma na sasa tumehamishia ofisi zetu katika majengo ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Tunawakaribisha watanzania na wadau wetu wote kufika katika ofisi zetu hizo na kwa mawasiliano tunapatikana katika anuani ifuatayo: Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Kitivo cha Sanaa na Sayansi ya Maendeleo ya Jamii, Jengo na. 12 S.L.P 2996, 40469 DODOMA Simu Na: +255 -26- 2963114, +255 -26- 2963115 Nukushi: +255-262963117 Barua pepe: ps@mit.go.tz Tovuti: www.mit.go.tz Msaada: dawatilamsaada@mit.go.tz Hivyo mnaombwa kutumia anuani hiyo kwa mawasiliano ya kiofisi.