Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Ziara kiwanda cha kuzalisha nyaya Elsewedy


Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) akipata maelezo mbalimbali kutoka kwa wataalamu wa Kiwanda cha kuzalisha nyaya za umeme pamoja na transfoma cha Elsewedy Februari 26, 2024 alipofanya ziara katika Kiwanda hicho kilichoko eneo la Kisarawe 11, Kigamboni Dar es Salaam kwa lengo la kujionea shughuli za uzalishaji na kusikiliza changamoto zao