Habari
Ziara ya Katibu Mkuu Mkoa wa Pwani
Ziara ya Katibu Mkuu Mkoa wa Pwani: Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Prof Elisante Ole Gabriel, afanya ziara ya kutembelea kiwa nda cha Viua dudu pamoja na kiwanda cha matrekta cha URSUS vilivyopo Kibaha Mkoani Pwani.