Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Dkt.Selemani Jafo akisalimiana na wadau mbalimbali wakati alipowasili kwenye shughuli ya uwekaji wa jiwe la msingi eneo la Kongani ya Viwanda Kwala (Kwala Industrial Park)


Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt.Selemani Jafo akisalimiana na wadau mbalimbali wakati alipowasili kwenye shughuli ya uwekaji wa jiwe la msingi eneo la Kongani ya Viwanda Kwala (Kwala Industrial Park), kabla ya mgeni Rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan kuwasili eneo hilo Julai 31, 2025 Kwala, mkoani Pwani.