Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Dkt. Suleiman Serera akiongozana na baadhi ya watumishi wa Wizara hiyo, wakiwasili kwenye shughuli ya uwekaji wa jiwe la msingi eneo la Kongani ya Viwanda Kwala (


Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Suleiman Serera akiongozana na baadhi ya watumishi wa Wizara hiyo, wakiwasili kwenye shughuli ya uwekaji wa jiwe la msingi eneo la Kongani ya Viwanda Kwala (Kwala Industrial Park), kabla ya mgeni Rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan kuwasili eneo hilo Julai 31, 2025 Kwala, mkoani Pwani.