Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

MAONESHO YA 4 YA BIDHAA ZA VIWANDA TANZANIA

MAONESHO YA 4 YA BIDHAA ZA VIWANDA TANZANIA, YATAFANYIKA KUANZIA TAREHE 05-07 DESEMBA,2019 KATIKA VIWANJA VYA MWALIMU J.K NYERERE (SABASABA) JIJINI DAR ES SALAAM. WENYE VIWANDA, WAFANYABIASHARA,WAJASIRIAMALI NA WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA KUSHIRIKI. KUJISAJILI TAFADHALI TEMBELEA www.tantrade.go.tz