MAONESHO YA 4 YA BIDHAA ZA VIWANDA TANZANIA

MAONESHO YA 4 YA BIDHAA ZA VIWANDA TANZANIA, YANATARAJIWA KUFANYIKA KUANZIA TAREHE 05-07 DESEMBA,2019 KATIKA VIWANJA VYA MWALIMU J.K NYERERE (SABASABA) JIJINI DAR ES SALAAM.
WENYE VIWANDA, WAFANYABIASHARA, WAJASIRIAMALI,TAASISI ZA UMMA, BINAFSI NA WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA KUSHIRIKI.
KUJISAJILI TAFADHALI TEMBELEA www.tantrade.go.tz