Maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Mwl. Julius Nyerere (DITF) June, 28 to 8 July, 2016.

Maonesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es salaam: Mamlaka ya Biashara Tanzania (TANTRADE) inawakaribisha kushiriki maonesho ya 42 ya biashara ya kimataifa ya Dar es salaam yanayotarajiwa kuanza tarehe 28 June hadi tarehe 13 Julai. kwa maelezo zaidi tembelea: www.tantrade.or.tz