Maonesho ya Viwanda vya Tanzania, Dar es salaam 2016.

Maonesho ya Viwanda vya Tanzania, Dar es salaam 2016.
Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji kupitia taasisi yake ya mamlaka ya maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE) inawakaribisha watanzania wote wanaomoliki viwanda vidogo, vya kati na vikubwa kushiriki mqaonesho ya Viwanda vya Tanzania yatakayofanyika kuanzia tarehe 7 hadi 11 Desemba, 2016 katika viwanja vya Mwalimu J.K Nyerere, Barabara ya Kilwa, Dar es salaam.