Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe. Chen Mingjian kwenye Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa


 

 

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Suleiman Serera (kushoto) akisalimiana na Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe. Chen Mingjian kwenye Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam 2025 (Sabasaba) Julai 6, 2025 jijini Dar es Salaam.