Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Dkt.Ashatu Kijaji akutanana na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kampuni ya Vodacom Tanzania


Waziri wa Uwekezaji,Viwanda na Biashara Dkt.Ashatu Kijaji (Mb.) amekutanana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kampuni ya Vodacom Tanzania Bwana Philip Besiimire Februari 17, 2023 katika Ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam ambapo Bwana Besiimire alipata fursa ya kujitambulisha na kueleza mikakati ya Vodacom katika kuendeleza Sekta ya Mawasiliano nchini