Habari
Dkt Kijaji: Afanya mazungumo na Wawekezaji na Wafanyabiashara wa Mkoa wa Tanga

Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) Mei 30, 2022 amekutana na kufanya mazungumo na Wawekezaji na Wafanyabiashara wa Mkoa wa Tanga ili kusikiliza changamoto zao na kuaidi kuzitatua kwa kushirikiana na Wizara nyingine hususani Wizara ya Nishati katika kutatua changamoto ya umeme viwandani.