Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Waziri Kijaji apokelewa na watumishi wa Wizara ya Viwanda na Biashara.


Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe, Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) akisalimiana na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Exaud Kigahe walipowasili na kupokelewa na Watumishi wa Wizara hiyo katika Ofisi za Wizara, Mtumba Dodoma, Julai 18, 2023 , baada ya kuapishwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuiongoza Wizara hiyo.