Habari
Dkt.KIjaji akutana na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya vifaa vya ujenzi ALAF

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt Ashatu Kijaji akiwa na Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara Bw. Conrad Milinga na Wataalam amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ALAF Tanzania Bw Paul Raj na ujumbe wake kuhusu kuimarisha uzalishaji wa bidhaa bora za ujenzi hususani mabati.