Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Dkt. Kijaji: IC Endeleeni kuboresha utoaji wa huduma kwa wawekezaji


Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji ( Mb.) amekutana na kujadiliana na Menejimenti ya Kituo cha Uwekezaji Tanzania  (TIC) Januari 25, 2023 kuhusu uboreshaji wa mazingira bora na utoaji wa huduma kwa wawekezaji wa ndani na nje ya nchi.