Habari
kt. Hashil Abdallah akitembelea mabanda mbalimbali ya baadhi ya wajasiriamali waliopo kwenye maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam 2025
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Hashil Abdallah akitembelea mabanda mbalimbali ya baadhi ya wajasiriamali waliopo kwenye maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam 2025 (Sabasaba) Julai 7, 2025 jijini Dar es Salaam.
Maonesho ya Sabasaba yenye Kauli mbiu ya *Maonesho ya Biashara ya Kimataifa-Sabasaba Fahari ya Tanzania* yalianza Juni 28, 2025 na yanatarajiwa kumalizika Julai 13, 2025