Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Uwasilishaji wa Bajeti kuu ya Serikali ya Mwaka wa Fedha 2025/2026


Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Exaud Kigahe(Mb) akiwa na Viongozi wengine wakifuatilia uwasilishaji wa Bajeti kuu ya Serikali ya Mwaka wa Fedha 2025/2026 iliyowasilishwa na Waziri wa Fedha Mhe.Mwigulu Nchemba Bungeni Jijini Dodoma Juni 12,2025.