Habari
Prof Paramagamba Kabudi akitembelea banda la Wizara la Viwanda na Biashara pamoja na Taasisi
Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Prof Paramagamba Kabudi akitembelea banda la Wizara la Viwanda na Biashara pamoja na Taasisi zake alipotembelea Maonesho hayo ya Kitaifa yanayofanyika katika Viwanja vya Nzuguni 06 Agosti 2025.Jijini Dodoma.