Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe (Mb) na viongozi mbalimbali wakati akifungua kiwanda cha kutengeneza mabomba ya maji na uchakataji pamba cha MOLI Oil Mills Co. Ltd 16 Juni, 2025 kilichopo Bariadi mkoani Simiyu.