Habari
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira yapokea Taarifa ya Mradi Unganishi wa Mchuchuma na Liganga

Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amewasilisha Taarifa ya Mradi Unganishi wa Mchuchuma na Liganga kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira Januari 19, 2023 katika ukumbi wa Bunge Dodoma