Habari
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah, akiongoza kikao cha watalaam kabla ya Mkutano Maalum wa 45 wa Kisekta wa Viwanda, Biashara
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah, akiongoza kikao cha watalaam kabla ya Mkutano Maalum wa 45 wa Kisekta wa Viwanda, Biashara, Fedha na Uwekezaji (SCTIFI) Ngazi ya Makatibu Wakuu akiwa pamoja na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, anayesimamia masuala ya Afrika Mashariki Mhe. Balozi Stephen Mbundi kujadili mapendekezo ya Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kuhusu kuboresha mazingira ya Biashara Novemba 13, 2024,Jijini Arusha.