Habari
Hafla ya Uzinduzi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 iliyozinduliwa Julai 17, 2025
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt.Selemani Jafo akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi mbalimba wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 iliyozinduliwa Julai 17, 2025 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.