Habari
Makatibu wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakutana Jijini Arusha
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah akishiriki Mkutano wa "Donor Roundtable" ngazi ya Makatibu Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki eneo la Uwezeshaji Biashara ( Trade Facilitation) uliofanyika Oktoba 6, 2023, Ukumbi wa Mikutano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Jijini Arusha.
