Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Makatibu Wakuu wa Wizara ya Viwanda pamoja na Kilimo wajadili kuanza kwa malipo ya wakulima ya Kahawa Mkoani Kagera.


Makatibu Wakuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya, Bw.Emanuel Tutupa (RAS Mwanza) Prof.Riziki Shemdoe (Katibu Mkuu Viwanda) na Prof.Faustin Kamuzola (RAS Kagera). Wakiwa kwenye kikao cha kujadili kuanza kulipwa kwa wakulima wa Kahawa Kagera.