Habari
Menejimenti Tendaji ya Wizara ya Viwanda na Biashara yafanya ziara ya ukaguzi wa mradi wa ujenzi jengo la wizara.
Menejimenti Tendaji ya Wizara ya Viwanda na Biashara yafanya ziara ya ukaguzi wa mradi wa ujenzi jengo la wizara.
Ukaguzi huo umefanyika leo 15 Novemba ,2024 katika kwa mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma ili kuangalia hatua iliyofikiwa katika ujenzi huo unaotarajia kukamilika mwezi Januari 2024