Habari
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Suleiman Serera akiongea na Menejimenti ya Wizara na Wakuu wa Taasisi zilizochini ya Wizara
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Suleiman Serera akiongea na Menejimenti ya Wizara na Wakuu wa Taasisi zilizochini ya Wizara (NDC, TIRDO, TEMDO, CAMARTEC, SIDO, TBS, BRELA, FCC, FCT, TANTRADE, WRRB CBE, WMA) baada ya kukabidhiwa Ofisi katika Kikao Kazi cha Katibu Mkuu na Menejimenti ya Wizara na Wakuu wa Taasisi hizo kilichofanyika Disemba 13, 2024.katika Ofisi ndogo za Tume ya Ushindani zilizopo Jijini Dar es Salaam.