Habari
Naibu Waziri mteule, Mhe. Mhandisi Stella Manyanya aripoti ofisi za wizara Dodoma.
Naibu Waziri mteule, Mhe. Mhandisi Stella Manyanya aripoti ofisi za wizara Dodoma. Mhe. Naibu Waziri amefurahi mapokezi ya wafanyakazi wa wizara na kuwataka kuchapa kazi kwa bidii ili kufikia adhma ya serikali ya Viwanda,