Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

NDC itaendelea kutekeleza Miradi ya Kielelezo , Miradi ya Kimkakati na Miradi unganishi kwa maendeleo ya Taifa. 


Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) Januari 26, 2023 amekutana na kujadiliana na Menejimenti ya Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) kuhusu utekelezaji wa Miradi ya Kielelezo , Miradi ya Kimkakati na Miradi unganishi kwa maendeleo ya Taifa. 

Huu ni mwendelezo wa Vikao vya Waziri na Menejimenti za Taasisi zilizochini ya Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara.