Habari
UJUMBE WA OMAN WAWASILI KUKUZA BIASHARA NA TANZANIA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Hashil Abdallah akiwa na viongozi wa Serikali na Viongozi wa Wafanyabiashara wakimpokea Mwenyekiti wa Chemba ya Wafanyabiashara wa nchini Omani Dkt. Salem Al-Junaibi na Ujumbe wake mara baada ya kuwasili nchini Tanzania kwa Ziara ya Kibiashara Septemba 7, 2025 jijini Dar es Salaam.