Habari
Uwasilishaji wa Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara kwa Mwaka wa fedha 2025/2026 Mei 14, 2025 bungeni Dodoma
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Hashil Abdallah (wa kwanza kushoto) akiwa na Naibu Katibu Mkuu, Wenyeviti wa Bodi, Wakuu wa Taasisi na wageni waalikwa wa Mhe. Dkt.Selemani Jafo (Mb) wakifuatilia uwasilishaji wa Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara kwa Mwaka wa fedha 2025/2026 Mei 14, 2025 bungeni Dodoma