Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Prof. Godius Kahyarara: Tathimini ya Maonesho ya 46 ya Biashara ya Kimataifa 2022


Katibu Mkuu Wizara ya Uwekezaji,Viwanda na Biashara Prof. Godius Kahyarara akiwa katika Kipindi cha Aridhio TBC1 akielezea tathimini ya Maonesho ya 46 ya Biashara ya Kimataifa 2022 Julai13, 2022

Amesema maonesho haya yamekuwa na mafanikio makubwa kwa kuwa na watu wengi walioshiriki, Makapuni mengi ya ndani na nje ya nchi yaliyoshiriki pamoja na kutia saini mikataba ya kibiashara 19 ya biashara ya kimataifa.