Habari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Exaud Kigahe kuwa Naibu Waziri wa Viwanda

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Exaud Kigahe kuwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Julai, 2023.