Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Banda la Tanzania katika Maonesho ya Expo 2025 Osaka Japan Mei 23, 2025 Osaka Japan.


Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Saidi Jafo (Mb) akiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Zanzibar anayesimamia masuala ya Kazi, Uchumi na Uwekezaji, Mhe. Shariff Ali Shariff pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania ( TANTRADE) Bi Latifa Mohamed pamoja na Viongozi wengine wakitembelea Banda la Tanzania katika Maonesho ya Expo 2025 Osaka Japan Mei 23, 2025 Osaka Japan.