Habari
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akizungumza katika Mkutano wa Jukwaa la Wafanyabiashara kati ya Tanzania na Zambia

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akizungumza katika Mkutano wa Jukwaa la Wafanyabiashara (Tanzania-Zambia Business Forum) uliofanyika Lusaka nchini humo tarehe 24 Oktoba, 2023