Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Kikao cha 46 cha Mkutano wa Baraza la Kisekta la Mawaziri wa Biashara, Viwanda, Fedha na Uwekezaji


Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Mtangamano wa Biashara Wizara ya Viwanda na Biasharaa ya Viwanda na Biashara, Bw. Ombeni Mwasha (wa kwanza kutoka kulia) akishiriki Kikao cha 46 cha Mkutano wa Baraza la Kisekta la Mawaziri wa Biashara, Viwanda, Fedha na Uwekezaji (SCTIFI) ngazi ya Mawaziri Mei 30, 2025 jijini Arusha, ambapo mapendekezo mbalimbali ya namna ya kuendelea kuboresha mazingira ya kibiashara na uwekezaji yamejadiliwa katika
Mkutano huo unajumuisha Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki.